Yamebaki masaa machache kufika siku iliyokuwa ikisubiriwa na maelfu ya wapenzi wa muziki wa injili, Kesho, Jumapili, tarehe 27 Nov,kuanzia saa 9 alasiri, DVD ya Rivers of Life, kutoka Dar es Salaam Pentecostal Church, itazinduliwa na Kuwekwa Wakfu, Ukumbi ni Diamond Jubilee Hall na Kiingilio ni Shilingi 5,000/= kwa kawaida na shilingi 10,000/= kwa siti maalumu.
Don't miss it.